Ukweli Juu Ya Taka

Unaweza ukawa hujui ni kiasi gani cha taka jiji la Dar es salaam huzalisha kwa siku?

Na unaweza ukawa unatafuta sehemu ya kurejesha bidhaa zilizokwisha tumika na mbinu mbalimbali za kudhibiti taka ofisini kwako?

Majibu ya maswali hayo na mengine mengi yamejibiwa kwenye KUPUNGUZA,UREJESHAJI,KUTUMIA TENA na NJIA SAHIHI ZA KUDHIBITI TAKA SEHEMU ZA KAZI 

Sambaza Elimu hii kwa watu wengi zaidi! 

Ahsante sana!

Copyright © Nipe Fagio. All rights reserved. Design by DJPA